wakuu,hawa tcu vipi?walitushauri tuklie application na tufanye re-application lakini nashangaa wiki inakatika sasa na wenyewe bado tu wameniandikia kwenye kozi husika checking in progress.kama kuna anae elewa huu utaratibu wa hayo masuala naomba anijuze,maana nashndwa kuelewa kama nimequalify or not.
Hawa tcu mwaka huu mbona wanalalamikiwa sana.ebu watoe tamko basi.
hebu jaribu ku clear application then applay upya pale kwenye selected programs, kama tatizo bado fika ofisini kwao kwa maelezo zaidi
mkuu,mwanzo nliclear na nikaaply upya,ila nashangaa bado inaniambia checking in progress hadi kwenye zile ambazo mwanzo zlikua eligible!
mkuu,mimi ni tangu alhamisi.
TCU walikua katika marekebisho ya system za CAS nazani kesho mambo yatakua fresh, Just login mida ya mchana itakua imekaa poa.
Me ilianza Ijumaa Asubuhi then J3 saa 2 nikachek iko poa. Just vuta subira mpaka kesho jioni kama bado kunatatizo fika ofisini kwao kwa taarifa zaidi

mkuu,mbona tatizo bado liko vile vile tu.
ntawasliana nao kwa njia gan wkt hata cmu hawapokei mkuu?