Cheer Leader in Chief

Cheer Leader in Chief

Rufiji

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2006
Posts
1,883
Reaction score
948
Gazeti la Daily nation la June 15, 2009 lilitoa hii katuni ambayo ilikuwa ikimkebehi Rais Kikwete mara tuu baada ya kuonana na Obama. Wadau mnalionaje hili ? Je kweli Muungwana ni cheer leader in Town ? ....
 
Wakenya wako mad kwa sababu Obama kawa snob tu.

Kikwete hana hata intellect ya kufanya cheerleading, wanampandisha chati bure.
 
Wakenya wako mad kwa sababu Obama kawa snob tu.

Kikwete hana hata intellect ya kufanya cheerleading, wanampandisha chati bure.

TEH teh teh , Kikwete hana intellect ya kuwa cheerleader...that is fun!
 
that cartoon was drawn by A Tanzanian- Gado

Even the other one journalists were licking mhesimiwa's shoes
 
Back
Top Bottom