Chege Chigunda akitunisha 'msuli'

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299

Huyu ni msanii mwenye kibao kikali kinachobamba cha Sweety Sweety, Chege Chigunda au mtoto wa mama Said, hapo pichani anaringishia misuli yake ya mikono kama unavyoona
 
Acha bwana six park ziko wapi au kitambi kinaanza kuotea kama mie
 
Ha haaa! Una balaa wewe, hilo neno msuli ulivyoliandika sasa! Yan kwa huo msuli, kuna vimwana wanauzimika balaa...
 
wanaume wa dar na hilo mwaliona ni zoez gumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…