Chege Chigunda hii Sweety Sweety ni habari nyingine

Yess wimbo upo vizuri big up chege, video tamuuuuuuuu!!!!!
 
Mi nimeona kama wa kawaida, Chegge nilitegemea afanye vizuri zaidi ya hapa kwenye audio, video ni kali sina kipingamizi
 
Chege talent hamna humo. Sweety sweety baby Kama ishirini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…