Wasanii Wana hela za show off nimeona demu wa harmonize kasema aliyemzaliza Mwandishi kambananisha kimkakati kaishia kusema Harmo hajwahi kutoa hela ya matumizi kuzidi lakitano
Ila Harmo yeye anadai anatoa mamilion ya hela
Pia Mama rayvanny anauza mboga mboga mbeya
Dogo janja Mama Yake anakaa nyumba ya udongo
Kiufupi hapa bongo wasanii wenye maokoto Kama maokoto ni Hawa wanaoimba nyimbo za dini kina Joel lwaga maana hawezi kukaa wiki bila show madhabauni nk