M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Jul 31, 2022 #1 Ni tengua na uteuzi tena. Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya
Ni tengua na uteuzi tena. Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya
S sony2 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 2,130 Reaction score 2,413 Jul 31, 2022 #2 Muuza Kangala said: Ni tengua na uteuzi tena. Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya Click to expand... Katiba mpya ndio suluhisho
Muuza Kangala said: Ni tengua na uteuzi tena. Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya Rais Samia atengua uteuzi wa RC Mara, ateua mpya Click to expand... Katiba mpya ndio suluhisho
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,573 Reaction score 2,807 Jul 31, 2022 #3 kazi iendelee mama....
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jul 31, 2022 #4 Ana mkosi duuuu
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,380 Reaction score 31,566 Jul 31, 2022 #5 Ina maana alimteua bila kuwa na taarifa zake au tatizo ni nini?
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Jul 31, 2022 #6 Yawezekana wamekompromaizi kua kule weka askari,achana Na raia wa kawaida.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Jul 31, 2022 #7 Inasikitisha sana mwanafunzi darasani anapoambulia kuiga tu staili ya tembea ya mwalimu wake mahiri, akashindwa kujifunza na kuiga mengine yote mazuri such as maarifa yake na utendaji wake.
Inasikitisha sana mwanafunzi darasani anapoambulia kuiga tu staili ya tembea ya mwalimu wake mahiri, akashindwa kujifunza na kuiga mengine yote mazuri such as maarifa yake na utendaji wake.