Chegge apata mtoto

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Msanii wa muziki Bongo, Chegge amefanikiwa kupata mtoto na mpenzi wake.

Msanii huyo anayehit na ngoma yake mpya ya ‘Kaitaba’ aliyomshirikisha Saida Karoli, ametuma ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram kutoa taarifa za kupata mtoto aitwaye Jadah.

Mwishoni mwezi wa pili msanii huyo aliweka wazi kuwa ana mpenzi na wanaishi wote ila kuhusu kuoa yeye atakuwa wa mwisho kuoa.

Bongo 5
 
Hongera kwake.

Ajitahidi mtoto asome ili na yeye asijekuwa mvuta bange.

Kuhusu ndoa aoe atulie maana kwa sasa wananchi hatuna tena hela za mchezo kuchangia wagonjwa.
Wewe usievuta bangi unanini cha kumzidi chege
 
Hongera kwake.

Ajitahidi mtoto asome ili na yeye asijekuwa mvuta bange.

Kuhusu ndoa aoe atulie maana kwa sasa wananchi hatuna tena hela za mchezo kuchangia wagonjwa.
Ukioa ndio unakua huugui.
 
Afadhari, maana mwenzie Dogo Janja anajirembua na kuvaa kama demu siku hizi. Halafu yule ni kijana wa Mkoani, msije kusema wa Dar bure.
 
Hongera kwake.

Ajitahidi mtoto asome ili na yeye asijekuwa mvuta bange.

Kuhusu ndoa aoe atulie maana kwa sasa wananchi hatuna tena hela za mchezo kuchangia wagonjwa.

Kwani kuvuta Bangi / Bange ni dhambi? Utafiti wako juu ya matumizi ya Bangi / Bange umeufanya wapi?
 
Huyo alikuwa dancer wake
Looking for cheap satisfaction
 
Afadhari, maana mwenzie Dogo Janja anajirembua na kuvaa kama demu siku hizi. Halafu yule ni kijana wa Mkoani, msije kusema wa Dar bure.
Huyo Dogo tumeshamtoa
Kwenye list ya wa mikoan
kiaz sana huyo kuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…