Labda ujinga na umaskini[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe usievuta bangi unanini cha kumzidi chege
Kanifrahisha mnoMeno yote nje hahaaa
Huyo Dogo tumeshamtoa
Kwenye list ya wa mikoan
kiaz sana huyo kuz
Hongera kwake.
Ajitahidi mtoto asome ili na yeye asijekuwa mvuta bange.
Kuhusu ndoa aoe atulie maana kwa sasa wananchi hatuna tena hela za mchezo kuchangia wagonjwa.