Cheichei wana jamii.

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
Hatimaye nimekuwa miongoni mwa wanajamii wa hii forum yetu. Nawashukuru wote waliondaa jukwaa hili, kwa wenyeji naombeni ushirikiano wenu na kubwa zaidi mnielekeze yanipasayo kufanya. Kwa uongozi au utawala naomba msisite kunielekeza kila ninapoonekana nakosea, kwani sitapenda kuona nafungiwa.

Asanteni.
Njano5.
0715845394.
 
Cheichei hujambo, maa hajambo, na baa hajambo. Haya karibu uketi jamvini.
 

Cheichei namba yako haipatikani..teh teh.....
 

Cheichei namba yako haipatikani..teh teh.....
 
Asante sana, ila bado sijazozea maisha ya hapa, yaani, bado natatizika jinsi ya kutumia hili jukwaa, nimezoea sana facebook.
 
Ha ha ha ha hiyo namba nimeacha kuitumia tangu kati kati ya mwaka 2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…