Cheka astaafu Ngumi, arudi kuokota chupa

Cheka astaafu Ngumi, arudi kuokota chupa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Bondia Francis Cheka Ngumi Jiwe ametangaza kustaafu mchezo wa ndondi.

Hii ni habari mbaya kwa sisi wapenda ndondi. Francis ameamua kuachana na ngumi na kujiweka pembeni ili aendelee na biashara zake ikiwa ni pamoja na kuokota chupa biashara aliyokuwa akiifanya kabla ya kuwa star

Akizungumza na kituo cha ITv kwa masikitiko makubwa Cheka ameonyesha kukerwa na hujuma za baadhi ya wadhamini wa mapambano

Akizungumzia kashfa ya kumkimbia Dulla Mbabe,Cheka amesema mdhamini alikiuka makubaliano ya kumpatia 9m kabla ya mchezo badala yake alimpa 3m tu
 
Wamemalizana vipi na mdhamini?,kulikuwa na uzi humu amekamatwa?,hizo milioni 3 kazirudisha?,kwa kuuza lile pambano lake kule INDIA atakuwa ashapata msingi wa kuanzisha biashara yake..
 
Ngumi zilikuwa enzi za Stanley Mabesi....Iraq Hudu
 
na hii ya kufungiwa miaka 2 kutojihusisha na ngumi, na faini ya laki 5 ndio kaamua bola astaafu.
 
Wabongo bwana ndio maana kina Charles Libondo na Charles Chibuye walikuwa wanawachapa sana
 
Back
Top Bottom