Cheka kidogo na simu ya Utopolo

Cheka kidogo na simu ya Utopolo

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
*Mazungumzo kati ya injinia hersi na tp mazembe*manager
Injinia: habari mkuu
Tp: salama
Injinia:mkuu naomba game ya kirafiki
Tp: Wewe ni nan
Injinia; mkurugenz wa gsm
Tp: gsm ni timu gan
Injinia : sio timu mkuu bali kampuni ya kutengeneza nagodoro
Tp: kwahyo unataka tucheze na wafanyakaz wa gsm
Injinia: 🤔hapana mkuu yanga
Tp: yanga ndo ile timu inacheza shirikisho ya lindi anapocheza sey😎😎
Injinia: 🙄🙄hapana ile ni namungo mkuu
Tp: kwan nan star kwenye timu hiyo😎
Injinia 🤔:kisinda mkuu
Tp: 😡😡 kisinda!!!
Injinia: ndio
Tp😱ooh nynyi ndo mlipewa wachezaji wawili kwa mkopo na as vita???
Injinia: 🤔 ndio
Tp; unahisi tuna la kujfunza kwa kisinda?
Injia : ndio wameongeza viwango vyao
Tp: ana goli ngap na assist ngap
Injinia: assist mbili na goli tatu za penalty mkuu
Tp:mhhh !! kwenye michuano ya kimataifa au vpl🤔🤔
Injinia: vpl mkuu,,sis kimataifa hatupo ila tunaongoza lig vpl
Tp: 😂😂kuongoza ligi sio sababu maana ata sisi kule kongo motema pembe anaongoza ligi ila sisi tuna vipolo😂🤔vip Kwan simba hana vipolo??
Injinia: 🙄🙄wanavyo vitatu
Tp:nilijua tuu,,hivi kwa mpira walotuchezea simba mna la kusema kuhusu ubingwa??
Injinia: 😔tutapambans mkuu
Tp:siwez haribu muda na kuchosha wachezaji wangu kwa timu haiko kimataifa afu star ni kisinda alieshindwa lig ya kongo😎😎😎
Injinia :,mkuu ila pia sisi ni mabingwa wa mapinduz cup😔
Tp:lile kombe ambalo hadi ligi daraja la pili wanashiriki nalo ni kombe😂
Injinia:ila tuliwapiga simba kwenye matuta final mkuu😊😊
Tp:bwalya , miquson,chama na onyango walikuepo??
Injinia:alikuepo onyango tu😔
Tp:ndo maana
Injinia : kwahyo
Tp: hatuna la kujifunza kwenu tafuten timu hizo za level yenu
Tp: any way mna ela ya maji
Injinia : tutawalipa tukiuza kalenda mkuu
Tp:fala nn kwenda huko na ufukala wenu😡😡😡😡😡
 
Back
Top Bottom