Wee V !! unatuchokodha eeeh!!Sheikh alikodi bodaboda, wakat wapo safarini akamwambia dereva
Zima muziki
dini hainiruhusu kuskiliza nymbo za kidunia
Kwa sababu wakati wa mtume hakukuwa na redio
Dereva akatii akazima... halafu akasimamisha bodaboda na kusimama pembeni
Shekh akamuuliza Dereva "Nin tena!?" dereva akNajibu
Wakati wa mtume hakukuwa na bodaboda, shuka usubiri ngamia..!![emoji23][emoji23][emoji23]
unakimbia ee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aisaee huwa tunachoraga RED LINE......ha ha ha ha
ngoja wafia dini waje aiseeee, utatamani kuedit huu uzi...
silaha yako itageuka hirizi....Ntawalenga manati[emoji125] [emoji125] [emoji125]
usijaamini hivyo... yatakukuta bure!!Shindwa kwa jina langu