mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
Nimecheka sana, sio kidogo!*Unatumwa dukani ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1,000/= afu ww unaamua kupitia sehemu unanunua andazi la sh 100 ili ukanunue mafuta ya 900/=. Ukifika wanakouza mafuta unakuta wamefunga*.
Hapo ndo utatafuta mafuta mpaka phamacy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una umri gani mkuu*Unatumwa dukani ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1,000/= afu ww unaamua kupitia sehemu unanunua andazi la sh 100 ili ukanunue mafuta ya 900/=. Ukifika wanakouza mafuta unakuta wamefunga*.
Hapo ndo utatafuta mafuta mpaka phamacy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 decade mkuuuUna umri gani mkuu
Sasa utarudije na 900?Hiyo balaa aisee maana nyumbani haparudiki bila mafuta.