Cheka kidogo.

Mstaarabu wa ukwee

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
209
Reaction score
137
Kuna jamaa alikuwa akikatisha mitaa maeneo ya makaburini,ghafla akasikia sauti za wadada wawili nyumu wakisema kaka tunaomba tusaidie kuvuka hapa makaburini tunaogopa.
jamaa alishtuka kidogo akageuka afu akacheka kidogo,ilikuwa mida ya jioni jioni,...akasema ngoja na mimi niwatanie.
akawauliza kwani mnaogopa?
wakajibu ndio kaka.
akawajibu akasema "halali yenu muogope maana mm ni mtoto wa kiume lakn wakati ni binadamu nilikuwa naogopa....kabla hajamaliza kuongea akashangaa mmoja wao kaanguka kazimia ile anasogea na wapili nae chini.
sasa hivi wapo hospitali
 
mimi nimecheka kwa kweli. kuwa mjanja ni kitu nzr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…