babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
DOGO: Eti baba mtu stupid yuko je?
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a
very good kweshen kwa kweli I am
praud of you, you see mwanangu,
mtu stupid ni yule ambaye akiulizwa
just a simpo kweshen, yaani swali
dogo sana basi huanza
kulinyumbulisha na kuongeza
mofimu na fonimu katika hilo swali,
kuanza kutafuta, tena infact bila
mantiki yoyote basis ya swali,na
baada ya hapo kufanya mchanganuo
na hati mae kukam up na solushenz
ambazo in prinsipo hazikuweko
katika swali husika kiasi cha kwamba
aliyeuliza swali anakuwa haelewi
hata kitu, umeelewa
DOGO: Hapana
hahahaha,ding lazma awe mpoleDOGO: Eti baba mtu stupid yuko je?
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a
very good kweshen kwa kweli I am
praud of you, you see mwanangu,
mtu stupid ni yule ambaye akiulizwa
just a simpo kweshen, yaani swali
dogo sana basi huanza
kulinyumbulisha na kuongeza
mofimu na fonimu katika hilo swali,
kuanza kutafuta, tena infact bila
mantiki yoyote basis ya swali,na
baada ya hapo kufanya mchanganuo
na hati mae kukam up na solushenz
ambazo in prinsipo hazikuweko
katika swali husika kiasi cha kwamba
aliyeuliza swali anakuwa haelewi
hata kitu, umeelewa
DOGO: Hapana
Nmechekaje!! Shkamoo babu
kumbe dingi pia Stupid.
Mtu stupid huyo.!
Hahahaaaa..DOGO: Eti baba mtu stupid yuko je?
DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a
very good kweshen kwa kweli I am
praud of you, you see mwanangu,
mtu stupid ni yule ambaye akiulizwa
just a simpo kweshen, yaani swali
dogo sana basi huanza
kulinyumbulisha na kuongeza
mofimu na fonimu katika hilo swali,
kuanza kutafuta, tena infact bila
mantiki yoyote basis ya swali,na
baada ya hapo kufanya mchanganuo
na hati mae kukam up na solushenz
ambazo in prinsipo hazikuweko
katika swali husika kiasi cha kwamba
aliyeuliza swali anakuwa haelewi
hata kitu, umeelewa
DOGO: Hapana
Nyie ndo wafukuaji makaburi, tangu 13 leo ikawaje ukaupata huu uzi? Nimeupenda.Hahahaaaa..
mkuu naona umefukua kaburiHahahaaaa..