Cheka kidogo

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Posts
933
Reaction score
75
Dada muuza duka: Samahani mzee huruhusiwi kuvuta sigara hapa.
Mteja: Lakini nimenunua hizi sigara kwenye duka hili.
Dada muuza duka: Pia tunauza condoms lakini hatufanyi mapenzi humu ndani!
 
Hahahahahha, hahahhahahhhahahahah! amakweli mambo ya dunia hayo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…