Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaahhaha kweli bado sijui kidhungu bilivyokuwa nimeelewa hapo juu na niliposoma hii hapa nimejikuta najicheka
Dai MBs zako maana hujafa, na mwenye uzi ameahidi usipokufa anarudisha MBsIle ya kingereza Nimecheka kidogo ila ya kiswahili Nimecheka kwa nguvu sana sjui kwanini
Alaah! ! Hivi ilibidi nife?Dai MBs zako maana hujafa, na mwenye uzi ameahidi usipokufa anarudisha MBs
hahahaha nimechela kwa kweli,kweli vichaa ni wengi dunianiKwenye hospitali ya vichaa,
mwandishi wa habari akamwuliza daktari:
"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazwa "? Daktari : Kuna njia nyingi.
Kwa mfano naweza kujaza maji kwenye sinki la bafuni, nikamwekea hapo kijiko cha mezani,kikombe na ndoo; Kisha nikamwagiza amwage maji yote yaliyo kwenye sinki.
Mwandishi: Bila shaka aliye timamu
atatumia ndoo.
Maana ndoo ndiyokubwa! Si ndivyo?
Daktari: Hapana! Mtu mwenye akili timamu atafungulia koki ya chini ya sinki. Tafadhali na wewe nenda kalale kitanda Namba-39. Nitakuja kuendelea
kukuchunguza zaidi! "
Hahhahaaa! Hivi kweli na wewe pia uliwaza ndoo?
Basi, kitanda chako ni Namba 40.