Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,105
- 765
Pole sana ndugu,ila haina athari kubwa sana kwa watanzania sababu asilimia tisini za simu tunazopiga ni za mapenzi,huwezijua labda walishtuka kuwa unataka tongoza mke wa mtu ndio maana wakakutosa kimtindo huo!!mimi nilijiunga na hii service wakanikata hiyo Tsh 500 lkn matokeo yake sikupata hiyo service na ukipiga customer care hawapatikani muda wote, nakuunga mkono kuwa hawa vodacom ni MATAPELI
Vodacom ni wezi, hata hizo dakika 60 hazifiki nawahakishieni, mi kila siku naingia cheka time na naongea average dak 25-30 hadi sa 12 lakini unakuna na salio limepungua!!! unashangaa na matapeli hao. hawatimizi wanachokisema
Pole sana ndugu,ila haina athari kubwa sana kwa watanzania sababu asilimia tisini za simu tunazopiga ni za mapenzi,huwezijua labda walishtuka kuwa unataka tongoza mke wa mtu ndio maana wakakutosa kimtindo huo!!
.....asilimia tisini za simu tunazopiga ni za mapenzi....
......
Mfano: shs. 500x2,000,000wateja=1BILIONI kwa siku moja tu ! halafu huduma inapokosekana kwa nini tusiwaite wezi hawa na wataalamu wa Mamlaka ya Mawasiliano watusaidie TUWASHITAKI HAWA JAMAA WA VODACOM. VINGINEVYO UMASIKINI WETU UTAZIDI KUONGEZWA NA KUNYONYWA NA KUIBIWA na VODACOM.