Panya watatu[emoji232] [emoji232] [emoji232]
Panya watatu walikuwa wanapigiana story nani mkali zaidi!!
Panya wa kwanza!!
Mimi nimekula ile sumu rat rat mara tano lakini sijafa hadi sa hivi bado nawatesa!!
Panya wa pili..::
Mimi yaani kila siku nikienda nakuta mtego wao wameeka nyama naingia nakyla nyama na mtego ukiwa umetegwa vilele na sikamatwi na kila siku nafanya hivyo naacha ukiwa umetegwa!!
Panya watatu":
Mmemaliza?? Mi nilikuwa nawasikiliza tuu yaani hapa mnaponiona hii mimba niya paka[emoji205]
Wale panya wawili waliposikia hivyo walizimia!!
Yule panya mwenye mimba ya paka hapendagi ujinga kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]