CHEKI HIII...Vijana wa KITANZANIA madawa ya kulevya yanawamaliza......

CHEKI HIII...Vijana wa KITANZANIA madawa ya kulevya yanawamaliza......

billduke

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
860
Reaction score
898
PICHA YA KWANZA MBABES WA KIBONGO ALIYEKUFA ITALY KWA KUPASUKIWA NA UNGA ALIOUBEBA TUMBONI!!


dada yenu huyu ame dead kisa??? drugs
Ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti

yakamkuta huko kweli drugs noumaaa




Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo).

Chanzo: blogs


 
Make Money!


Uoga wako ni Umaskini wako.
 
Sasa hivi wimbi la vijana wengi ndio wanafanya.....so sad
 
Sasa kama ajira ni za ukoo fulani au marafiki fulani,mnataka watu wafanyeje?
 
Pole sana bibie, is sad when life leave you with no choice. Sitaki kusema sana kwa mtu aliekua anaishi UK. Ila kwa hawa wengine tunalaumu dalili za ugonjwa kuliko ugonjwa mwenyewe. Nini kinachofanya watu wabebe unga? Jadili
 
Back
Top Bottom