Cheki jamaa alivyoumbuka baada ya kuhudhuria semina isiyomuhusu

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Jamaa kavamia semina
ya wasomi iliyokua
inafanyika maeneo ya
ubungo plaza basi
wakaanza kujitambulisha

1. Naitwa Anna niko SUA mwaka wa 3 nasoma
agriculture

2. Naitwa Stella niko
UDSM mwaka wa 2 nasoma
public relation

3. Naitwa Emmanuel niko
UDOM mwaka wa 3 nasoma
computer science
basi jamaa nae akainuka
kwa kusuasua huku
akijishtukia akasema
"Naitwa Elisha
niko Tanesco mwaka wa
7 nasoma mita"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Toba......[emoji87] [emoji87]
Mdogowangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]
 
Hatari sana
 
no 2. udsm hakuna public relation km course
 
Safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…