Cheki ngoma LIVE bila chenga [video clip WEMA SEPETU & DIAMOND]

Cheki ngoma LIVE bila chenga [video clip WEMA SEPETU & DIAMOND]

Taifa halitajengwa na wambea wa kufuatilia maisha binafsi ya watu. Kamata jembe ukalime wewe mambo yote KILIMO KWANZA umbea bidae!
 
She was nt comfortable at all na hicho kijigauni....
 
Huyu dada tena anacheza music siku hizi? kweli wasanii wa Tanzania hawajitambui kabisa yahani kama wema sepetu hajui ni nini role yake kwa jamii zaidi ya starehe tu na wanaume.
 
Huo kwa kuungalia unavutia lakini ndio hivyo tena ushachakachuliwa sana, according to some JF members of coz
 
Back
Top Bottom