Kingdom_man JF-Expert Member Joined May 19, 2010 Posts 405 Reaction score 462 Jul 6, 2011 #1 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Sokomoko JF-Expert Member Joined Mar 29, 2008 Posts 1,915 Reaction score 129 Jul 6, 2011 #2 Taifa halitajengwa na wambea wa kufuatilia maisha binafsi ya watu. Kamata jembe ukalime wewe mambo yote KILIMO KWANZA umbea bidae!
Taifa halitajengwa na wambea wa kufuatilia maisha binafsi ya watu. Kamata jembe ukalime wewe mambo yote KILIMO KWANZA umbea bidae!
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Jul 6, 2011 #3 She was nt comfortable at all na hicho kijigauni....
yutong JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 1,601 Reaction score 338 Jul 6, 2011 #4 Huyu dada tena anacheza music siku hizi? kweli wasanii wa Tanzania hawajitambui kabisa yahani kama wema sepetu hajui ni nini role yake kwa jamii zaidi ya starehe tu na wanaume.
Huyu dada tena anacheza music siku hizi? kweli wasanii wa Tanzania hawajitambui kabisa yahani kama wema sepetu hajui ni nini role yake kwa jamii zaidi ya starehe tu na wanaume.
Da Womanizer JF-Expert Member Joined May 24, 2010 Posts 1,577 Reaction score 150 Jul 6, 2011 #5 Huo kwa kuungalia unavutia lakini ndio hivyo tena ushachakachuliwa sana, according to some JF members of coz
Huo kwa kuungalia unavutia lakini ndio hivyo tena ushachakachuliwa sana, according to some JF members of coz