hivi karibuni nilisherehekea bday yangu nikiwa nimetimiza miaka 30 na ushee (siri yangu na mod).
jf walikuwa wa kwanza kunitumia happy bday mnamo saa 6 usiku iliyoanzia siku hiyo ya bday.
hapo nilikuwa chumbani mwangu wakati ndg jamaa na marafiki walipokuwa wakinisubiri sebuleni.