Cheki Raisi Wa bongo

Cheki Raisi Wa bongo

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Raisi Wa bongo marekani Na Russia walikwama kwenye ndege iliokua Na wao watatu Na marubani wawili. Ila bahati mbaya parachute zilikua mbili tuu... Ikabdibwapige kura maraisi gani wawili wapone.
Matokeo yakawa ivi...
Marekani kura 3
Russia kura 2
Bongo kura 16
 
Marais watatu na marubani wawili jumla yao ni wapiga kura watano. Sasa huyo aliyepata kura 16 zote hizo zilitoka wapi? Yaani wizi wa kura hadi angani!
Usiseme wizi kiongozi Sema kipaji hahahhaha
 
Marais watatu na marubani wawili jumla yao ni wapiga kura watano. Sasa huyo aliyepata kura 16 zote hizo zilitoka wapi? Yaani wizi wa kura hadi angani!

Mkuu, inawezekana wajumbe walizuiliwa kujumulisha matokeo na mashine zao ziakuliwa ili wasijulikane waliokuwemo kwenye ndege na kura zilipigwa namna gani!.

Kwa bongo hili wala halina ubishi!
 
Mashara ua kupakatwa....huwezi amini vijana wetu wamesha haribiwa sana huko nyuma.
 
Back
Top Bottom