mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Afadhali! Maana kura zingeegemea kwingine Jecha asingechelewa kutangaza uchaguzi mpya
Hahaaahaaa Mbavu zangu jamaniπππMarais watatu na marubani wawili jumla yao ni wapiga kura watano. Sasa huyo aliyepata kura 16 zote hizo zilitoka wapi? Yaani wizi wa kura hadi angani!
Jecha....nani alikuwa anahesabu kura?
Bila shaka aliyesimamia zoezi alikuwa ni Jecha...Marais watatu na marubani wawili jumla yao ni wapiga kura watano. Sasa huyo aliyepata kura 16 zote hizo zilitoka wapi? Yaani wizi wa kura hadi angani!
Usiseme wizi kiongozi Sema kipaji hahahhahaMarais watatu na marubani wawili jumla yao ni wapiga kura watano. Sasa huyo aliyepata kura 16 zote hizo zilitoka wapi? Yaani wizi wa kura hadi angani!
Marais watatu na marubani wawili jumla yao ni wapiga kura watano. Sasa huyo aliyepata kura 16 zote hizo zilitoka wapi? Yaani wizi wa kura hadi angani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jecha....