Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AssKuna ubaya gani na huo ujumbe
Ass no punda kwa kiingereza fasaha
Ass ni punda😅😅😅 nikiwa nasoma chuo katika harakati za kupitapita campus nikapishana na kijana amevaa T shirt imeandikwa my ass is bigger that yours. Maneno yameandikwa hati ya rough hivi kama mchoro fulani.
Tukapishana, kama hatua moja nikasimama nikiwa natafakari ikabidi nimuite kaka samahani, akaitika na kugeuka akiwa surprised kwamba inakuwaje msichana hatufahamiani ananisimamisha, ikabidi nimuulize kama yeye ni mwanafunzi wa hii campus, akawa honest kuwa yeye si mwanafunzi, huwa analeta biashara hivyo leo amekuja kuleta biashara, amebeba kibegi cha urembo, amekifunga funga akifika blocks ndio atakifungua maana Suma JKT wanaweza mzingua.
Anyways ikabidi nimwambie tu kuwa tishet yako imeandikwa maneno ya ajabu sana akaomba nimtafsirie, eenhe ilibidi achukue koti sijui jaketi lile avae aendelee na safari.
Ass ni pundaItakua mbeya hiyo mana wanamakanisa kila mtaa,cha kufanya kawashauri wandike vyema hilo neno ass
Humohumo tena 'kila mtu atabeba mizigo yake mwenyewe'Mizigo ni dhambi Biblia uongea kwa mafumbo ili kutofautisha na vitabu vingine. Mizigo ni tabia zote usizoweza ziacha kwa akili yako mwenye mfano ushoga pombe bangi kudanga club uzinzi uteja wizi punyeto usagaji nk vyote hivi vinafutika kwa maombi.
Inategemea kama ni cha mfalme au la!Ass no punda kwa kiingereza fasaha
Hata Cha marekaniInategemea kama ni cha mfalme au la!
Wao hapo wamefupisha neno AssembliesAss no punda kwa kiingereza fasaha
Kuna jamaa nilimkuta ana T shirt nyeusi imeandikwa 'Am amateur pornstar', ilibidi nimuambie, uzuri alikuwa muelewa sana akanishukuru.😅😅😅 nikiwa nasoma chuo katika harakati za kupitapita campus nikapishana na kijana amevaa T shirt imeandikwa my ass is bigger that yours. Maneno yameandikwa hati ya rough hivi kama mchoro fulani.
Tukapishana, kama hatua moja nikasimama nikiwa natafakari ikabidi nimuite kaka samahani, akaitika na kugeuka akiwa surprised kwamba inakuwaje msichana hatufahamiani ananisimamisha, ikabidi nimuulize kama yeye ni mwanafunzi wa hii campus, akawa honest kuwa yeye si mwanafunzi, huwa analeta biashara hivyo leo amekuja kuleta biashara, amebeba kibegi cha urembo, amekifunga funga akifika blocks ndio atakifungua maana Suma JKT wanaweza mzingua.
Anyways ikabidi nimwambie tu kuwa tishet yako imeandikwa maneno ya ajabu sana akaomba nimtafsirie, eenhe ilibidi achukue koti sijui jaketi lile avae aendelee na safari.
Tatizo ni kuwa wengi wenu hili neno mnapenda kulitumia kama vulgar au slang pekee. Na mimi naamini hapo ulimpa maana iliyojikita katika mitazamo hiyo.😅😅😅 nikiwa nasoma chuo katika harakati za kupitapita campus nikapishana na kijana amevaa T shirt imeandikwa my ass is bigger that yours. Maneno yameandikwa hati ya rough hivi kama mchoro fulani.
Tukapishana, kama hatua moja nikasimama nikiwa natafakari ikabidi nimuite kaka samahani, akaitika na kugeuka akiwa surprised kwamba inakuwaje msichana hatufahamiani ananisimamisha, ikabidi nimuulize kama yeye ni mwanafunzi wa hii campus, akawa honest kuwa yeye si mwanafunzi, huwa analeta biashara hivyo leo amekuja kuleta biashara, amebeba kibegi cha urembo, amekifunga funga akifika blocks ndio atakifungua maana Suma JKT wanaweza mzingua.
Anyways ikabidi nimwambie tu kuwa tishet yako imeandikwa maneno ya ajabu sana akaomba nimtafsirie, eenhe ilibidi achukue koti sijui jaketi lile avae aendelee na safari.
Wala hilo neno kwa mtu mwelewa sio tatizo. Nadhan watu wengi humu ni too judgemental! Maana kwa hilo bango, wasingeweza kuandika neno Assemblies likatosha kwenye bango. Walitafuta njia ya kufupisha.