salute watu wa nzega, mimi nawaheshimu sana
bajaji kubeba wajawazito, na kila penye mto au ziwa kuletwa merikebu, hizi ahadi jamani mhh!!!
Cheki na hii viwanja vya ndege vitajengwa: leh!! Wananchi wa nzega wangapi wanauwezo wa kupanda ndege?? Akili kichwani leh!!