Cheking your SIM Card Registration Status

Cheking your SIM Card Registration Status

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Please check with your service provider if you have been properly registered by either hitting *106# or dialling 106 or sending SMS to 106.

Please pass this message as widelly as possible
 
Thanks Shy. Naona inakataa Vodacom. Imekubali Zain tu
 
Eeh! Hiyo ni kwa mitandao yote au baadhi tu?

Au ni muongozo kutoka TCRA?
 
ZANTEL comes up with a menu.
what am i supposed to do then?
ZAIN seems to be the easier because they respond direct
 
Hii ni kwa Mujibu wa TCRA au! But thanx anyway though tigo imechomoa
 
Please check with your service provider if you have been properly registered by either hitting *106# or dialling 106 or sending SMS to 106.

Please pass this message as widelly as possible
hiyo ni kwa zein pekee! naona wamenitunia msg
 
Wale wa Tigo mnaweza tuma SMS yenye neno Sajili kwenda 106 in few seconds wanakutumia SMS ya details kama namba imesajiliwa au la,na kama imesajiliwa watakutumia na jina la mwenye hiyo kadi.
 
Kama kuna Tatizo lolote tafadhali wasiliana na mtoa huduma wako kabla ya Tarehe 30 Juni 2010 Saa 24:59
 
thenx for info!but for zain inachukua mda sana kukupa feedback kama tayari umesajili or not!nilisajili j'3 mpaka nw nikiuliza najibiwa bado haijasajiliwa!niendelee kusubir or wat can i do?
 
Dear WanaJF,

This service will be available to all operators in few days/weeks to come
kwa sasa only Zain have introduced such service.

The service will be formalized to use simple and standard Algorithm (i.e.
like the one of Zain)

And will be available to (TTCL Mobile subscribers,Vodacom,Zain,Tigo and BoL)

Nafikiri efforts binafsi za Kampuni moja moja pia zinaendelea.
 
Back
Top Bottom