Chelsea bingwa wa klabu bingwa duniani 2022/2023

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Baada ya kuona droo ya robo fainal kupangwa Jana sis Kama Chelsea tumefurahi kupangiwa na real Madrid.tunaenda kumpiga Madrid nje ndani afu tunakuja kwa city nae tunampiga nusu fainail na fainali ni Chelsea na Napoli na Chelsea anakuwa bingwa🥇🏆

Msimu wa 2020/2021 ngola kante alikuwa mchezaji Bora pale Santiago b tukiwapigia mpira mkubwa na walivyokuja Stamford bridge tuliwapelekea pumzi ya moto na ngolo kante akawa mchezaji Bora wa mechi

Msimu uliopita tulivyokutana pale statiago b mliona tulivyowapelekea Moto...Japo uchawi uliwasaidia mkapita sas msimu huu Hamna chenu .


Man City : mna laana kombe la uefa mtalisikia tu na kocha wenu mbaguzi😄

Man u : nyie ni vibonde uefa mtalisikia tu mtacheza miaka yote kombe lenu la futuhi 😁

Arsenal : amna hadhi ya kucheza ata uefa Amna wachezaji wa kiwango 😁

Liverpool😁😁😁😁😄😄

Chelsea bingwa uefa 2022/2023
Blues forever
 

Attachments

  • FB_IMG_16791166690050455.jpg
    62.1 KB · Views: 2
Umeishia kidato Cha ngapi mkuu?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Unaota ndoto za mchana?. Unachotamani unajua kabisa huna uwezo nacho hata nusu. Upitie kwa Real Madrid we kenge?. Umesahau kilichowakuta mwaka jana?. Uliona Madrid ya mwaka jana,wengi walituona dhaifu. Walitupitisha kwa vigogo wote Buyern,Man city,PSG,mkiwemo nyie kenge, Tukalamba kama kumbusu msichana tu. Leo umekuja na ndoto zingine kujifariji,japo unajua safari yako imeishia hapo.
 
Timu yenyewe anayo basi? [emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Naisupport Chelsea ila hapa sito neno lolote.
 
Wewe chelsea ambaye yuko tz **** mbegete sijui lini mtaacha ujinga huu
 
Mungu sio Athumani
Dua la kuku halimpati mwewe
Best of Luck my CFC
 
Mimi ni shabiki wa Chelsea. Ila sina hata chembe moja ya matumaini ya kusonga mbele kwenye hii hatua, kutokana na ukweli kwamba kikosi bado kinaendelea kusukwa.

Labda baada ya miaka michache mbele, tutaishudia ile Chelsea ya wakati ule.
 
Hivi upangaji wa hizi droo kwa hatua hiyo huwa unafanyikaje?. Kibahati bahati au wanapanga tu kwa kuamua?. Maana naona kama Madrid kama inawindwa sana upitie kwenye moto fulani au kwa lengo angalau itolewe mapema hivi. Ila jamaa nao Madrid wakifikia hatua hizo wanakaza usiombe kukutana nayo hatua hizo. Hayo anayajua vizuri Guardiola,wanayajua vizuri Mess,Mbape,Neyma,Buyern na Liver
 
Mimi ni shabiki wa Chelsea. Ila sina hata chembe moja ya matumaini ya kusonga mbele kwenye hii hatua, kutokana na ukweli kwamba kikosi bado kinaendelea kusukwa.

Labda baada ya miaka michache mbele, tutaishudia ile Chelsea ya wakati ule.
Chelsea bingwa hakuna kukata tamaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…