Chelsea fanyeni haya

Darucha

Senior Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
111
Reaction score
211
Inabidi tukubali tu kuwa Chelsea ina mwalimu ambaye bado hajafika kwenye level za kuitwa world class coach kiufupi kimbinu bado hayuko vzr Sana Chelsea kwa Sasa inachotakiwa ni kumtafuta kiungo mmoja mshambuliaji Aina ya Paul Pogba, Bruno fernandez, Ddebruyne au Modrick.

Kuendelea kuwategemea Havertz, Mount na Kovacic ni kumtesa Ngolo Kante pale katikati ashindwe kutimiza majukumu yake jambo lapili atafutwe mshambuliaji hatari Aina ya Haaland, Lukaku au Danny Ings najua hapa mtajiuliza ings naye ni hatari lakini kwa wale tunaojua washambuliaji hatari hatushangai huyu jamaa kuwa kwenye hii list jambo la tatu ni kumfukuza lampard na kumleta Thomas tuchel
 
Hii ilitakiwa iwe comment kwenye uzi wa The blues kule juu



Nasema uongo ndugu zangu
 
Nasemaga hapa kila siku kuna team kuzishabikia ni lazima uwe na moyo mgumu kama shabiki wa Arsenal..! 😂

Nawatania sitaki uchokozi na nyie jamani..!
 
Alafu Chelsea ni wachachezaji wazuri..walianza kwa vifijo sasa hiv dah majanga tu,man ya kna sosha ina ahueni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…