master of cities
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 429
- 625
Wadau game la leo limetawaliwa na Man u..lakini final result ni Chelsea 1 Man u 0.. kama ingekuwa timu nyingine ikacheza kama ilivyocheza Chelsea leo Dhidi ya Man U lazima ingechezea Bakora za kutosha....ila kwa vile kuna Mtu anaitwa Mourinho habari imekuwa nyingine kabisa kwa mashetani....Yeye anajua kitu kimoja tu kwenye mpira ni Mathematical Timing
MATCH STATISTICS
POSSESION Man u 70% Chelsea 30%
SHORTS Man u 15 Chelsea 7
ON TARGET Man u 2 Chelsea 2
CORNERS Man u 7 Chelsea 3
FOULS Man u 11 Chelsea 13
YELLOW CARD Man u 1 Chelsea 3
RED CARD Man u 0 Chelsea 0
GOALS Man u 0 Chelsea 1
Source BBC Sport - Chelsea 1-0 Manchester United
MATCH STATISTICS
POSSESION Man u 70% Chelsea 30%
SHORTS Man u 15 Chelsea 7
ON TARGET Man u 2 Chelsea 2
CORNERS Man u 7 Chelsea 3
FOULS Man u 11 Chelsea 13
YELLOW CARD Man u 1 Chelsea 3
RED CARD Man u 0 Chelsea 0
GOALS Man u 0 Chelsea 1
Source BBC Sport - Chelsea 1-0 Manchester United