Atajiunga na Chelsea mpaka msimu ujao ukiisha Huu.innocent dependent kwa hiyo mechi za ligi atakuwepo au mpaka msimu wa Agosti
Asimilia kubwa ya mashabiki tuliomba zaha asije Chelsea tunashukuru maombi yetu yamekubaliwa.Zaha sio mchezaji wa kiwango Cha Chelsea hata kwenye kikosi tulichonacho sasa hivi tu number apati Bora umsajili Harrison wa Yanga kuliko zaha.ningeliwashangaa sana kama mungeliwapa crystal palace takribani paundi millioni 70 kwa ajili ya zaha wilfred.
mumefanya usajili bora kwa fedha ilio bora zaidi..
kumbe odoi na mount wanamzidi wilfred zahaAsimilia kubwa ya mashabiki tuliomba zaha asije Chelsea tunashukuru maombi yetu yamekubaliwa.Zaha sio mchezaji wa kiwango Cha Chelsea hata kwenye kikosi tulichonacho sasa hivi tu number apati Bora umsajili Harrison wa Yanga kuliko zaha.
Naomba twende kwenye jukwaa la Korean drama naomba unisaidie nipate drama ya Demo nataka nidownload nimejaribu kuitafuta kissasian haipo daebak pamoja na dramine kote uko haipo please nisaidie.kumbe odoi na mount wanamzidi wilfred zaha
New BAKAYOKO
Mwenye kisu kikali hula nyamaArsenal tulizingua Sana
Kisu kipi? Koz ziliishia kua rumours hata mazungumzo hatukufanya nayeMwenye kisu kikali hula nyama