Chelsea kumbukeni kesho msijisahau

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Chelsea msijifanye hamjui kesho mnakutana na kipara... Yaani misigara ya kocha wenu kesho tutamnywesha maziwa... Jificheni tu
 
Chelsea msijifanye hamjui kesho mnakutana na kipara... Yaani misigara ya kocha wenu kesho tutamnywesha maziwa... Jificheni tu
Yaani umekuja getto ukijiamini kabsa kuwa naenda kumbaka matokeo yake unabakwa wewe!

Aibuuu niajee??

Huna tofauti na mkurya akiwa kijijini ni mbabe balaa akija mjini anauza mayai yaliyochemshwa!
 
Mimi siyo THE BLUES lakini nilijua jana Man shity hatoki pale darajani,Chelsea amefungwa mechi mbili zilizopita,kwa timu yenye kujielewa haiwezi kukubari kupoteza mechi tatu mfululizo.

Matokeo yake Man shity ametolewa bikra kimya hakuna tena kelele za unbeaten.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…