CHELSEA kumchukua Diego Simeone .....if...

Mkuu The Boss, hilo litakuwa chaguo sahihi. Kocha wa sasa ameshaishiwa na kufika mwisho wake
 
Last edited by a moderator:
Nimeisoma hiyo stori, but ninachoweza kuona ni kama ka threat fulani kwa mou lakn uhalisia ni kwamba simeone atasubiri sana mbele ya mou! mou ni heavy weight!

Pamoja na yanayotokea darajani kwa sasa, lakn mou bado anaaminika na kukubalika sana!
 
Hata simeone mwenyewe ataishangaa ulimwengu wa soka, palle itakapomwona eti yeye ni bora mbele ya mou!
 
waje tu sisi tunataka ushindi hatujazoea kufungwafungwa ovyo
 
unatoa afadhali unaleta potelea mbali...
 
Kamwe chelsea hawato gusa top 4:::::
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…