Chelsea kumfukuza Tuchel ni sawa?

Chelsea kumfukuza Tuchel ni sawa?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Binafsi ni shabiki wa Arsenal, Ila kitendo cha Chelsea kumfukuza Tuchel baada ya kufungwa na Leeds naona Chelsea wamekurupuka na itawacost
 
Chelsea sio timu ya majaribio!!!Ni timu ya vikombe Kwa hiyo ukiwa kocha wa Chelsea ujiandae Kwa ushindani !!!Lakini pia timu za majaribio ni asernal, Tottenham,Leeds,westham.
 
Kwani huyo Thomas Tuchel ndiyo kocha pekee kuwahi kupita pale Chelsea?
 
Back
Top Bottom