Chelsea kumsajili kitasa kutoka Roma, Antonio Rudiger kwa Ada ya Pauni milioni 34

Chelsea kumsajili kitasa kutoka Roma, Antonio Rudiger kwa Ada ya Pauni milioni 34

mombury

Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
19
Reaction score
8
Chelsea wako katika hatua za mwisho za Kimsajili kitasa kutoka Roma Antonio Rudiger kwa Ada ya Pauni Million 34. Sababu moja wapo kubwa ya beki huyo wa kijerumani ni kwamba amepatwa na majanga ya ubaguzi wa rangi nchini Italia mara kadhaa.
50dcb3a8057c285c5ea7f098401969ca.jpg
 
"Karbu katka timu ndogo Chelsea"
Nime quote john Terry
 
Jamaa yupo vizuri nafikiri ataisaidia Chelsea ktk mfumo wao 3-4-3

Huyu beki ni komesha man...kantilia kazi Matata kwenye Confederation cup Kule Russia yani pale gollini walikuwa mabeki watatu lakini kama wanne vile...to my thought nafikiri kwa falsafa ya Chelsea wamepata mtu hapo...yani Jamaa ni shida alinikabia Hadi Mipira ya juu kutokana na Huo urefu wake!
 
Najiuliza...Nani anakwenda kukalishwa benchi

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom