mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya kuibua vipaji visiwani hapo . Hayo yamebainishwa katika kikao kati ya rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi na mkuu wa kitengocha mauzo ya ubia wa chelsea Barnes Hampel. ushirikiano huu unatarajiwa kuleta tija kubwa kwa taifa ikiwa ni kukuza utalii, kuibua fursa kwa vijana pamoja kuendeleza vipaji vya soka barani kwa ujumla.