Chelsea mnatuchosha

Chelsea mnatuchosha

Tajiri wa Babeli

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
126
Reaction score
53
Hii klabu yangu ya chelsea wachezaji cjui wamechoka? Cjui morinho kaixhiwa mbinu? Daah labda nyie ndugu zng mniambie tatizo ni nn?
 
Morinyo hana jipya kwa kweli kwa sababu wachezaji ni wale wale wa msimu uliopita waliochukua ubingwa kwanin leo waonekane wachovu
 
Kiburi cha kocha na kumtusi yule dada mzuri Dr. kumeifanya team isiwe moja. apunguze kujiona yeye ni mungu mtu.
 
Back
Top Bottom