Tajiri wa Babeli Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 126 Reaction score 53 Sep 2, 2015 #1 Hii klabu yangu ya chelsea wachezaji cjui wamechoka? Cjui morinho kaixhiwa mbinu? Daah labda nyie ndugu zng mniambie tatizo ni nn?
Hii klabu yangu ya chelsea wachezaji cjui wamechoka? Cjui morinho kaixhiwa mbinu? Daah labda nyie ndugu zng mniambie tatizo ni nn?
Amadoli JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 2,544 Reaction score 2,265 Sep 2, 2015 #2 Morinyo hana jipya kwa kweli kwa sababu wachezaji ni wale wale wa msimu uliopita waliochukua ubingwa kwanin leo waonekane wachovu
Morinyo hana jipya kwa kweli kwa sababu wachezaji ni wale wale wa msimu uliopita waliochukua ubingwa kwanin leo waonekane wachovu
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,106 Reaction score 14,353 Sep 3, 2015 #3 Welcome fc Barcelona
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,915 Reaction score 5,038 Sep 3, 2015 #4 Kiburi cha kocha na kumtusi yule dada mzuri Dr. kumeifanya team isiwe moja. apunguze kujiona yeye ni mungu mtu.
Kiburi cha kocha na kumtusi yule dada mzuri Dr. kumeifanya team isiwe moja. apunguze kujiona yeye ni mungu mtu.