Chelsea na dili la Federico Chiesa

Chelsea na dili la Federico Chiesa

Soka island

New Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
1
Reaction score
3
klabu ya soka ya jijini london Chelsea imewasilisha ofa ya £100m kwa ajili ya kumpata kiungo mshambuliaji wa Juventus, Federico Chiesa lakini Juventus wanaendelea kushikilia msimamo kuwa kijana huyo n center ya project yao na hauzwi

Source; SPORT BILD
 
Ni mshambuliaji. Federico chiesa ni mmoja wa washambuliaji bora kwa sasa barani ulaya. Thamani yake imeongezeka baada ya kuonyesha ubora kwenye euro 2020 na kuisaidia italia kunyanyua kwapa, baada ya kuizaba england kwa mikwaju ya penalt.
 
Huyu tunampa mwaka mmoja, kiwango kitashuka tu
Chiesa kiwango hakitashuka, akiflop anabakia hapo hapo, ial kwa umri wake anaweza kupanda sana ila hatakuwa mfungaji wa kiwango cha Haaland for sure
 
Back
Top Bottom