klabu ya soka ya jijini london Chelsea imewasilisha ofa ya £100m kwa ajili ya kumpata kiungo mshambuliaji wa Juventus, Federico Chiesa lakini Juventus wanaendelea kushikilia msimamo kuwa kijana huyo n center ya project yao na hauzwi
Ni mshambuliaji. Federico chiesa ni mmoja wa washambuliaji bora kwa sasa barani ulaya. Thamani yake imeongezeka baada ya kuonyesha ubora kwenye euro 2020 na kuisaidia italia kunyanyua kwapa, baada ya kuizaba england kwa mikwaju ya penalt.