marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Acha uongo,kwa hiyo hao wanawake ni wakali kuliko Liverpool ya akina Sara,Mane na kocha wao. Mbona wao wameshinda kufikisha 4.Chelsea wakishindanishwa na timu ya taifa ya wanawake ya ufaransa watafungwa kama kindergarten labda wafanye faulo za kibabe tu. Defense ile hakuna anayeweza kumsimamisha Diani kule right wing, halafu hakuna wa kumzuia Gauvin asifutungue nyavu. Wakipambana na USNWT ndiyo tena majanga.
πππ!!
Kupata vichekesho vingine kama hv andika neno CHELSEA kisha tuma kwenda no 15302Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri
Chelsea wameupiga mwingi sana wamecheza mpira wa kueleweka sio kubahatisha kama Liverpool .
Marefa hawa wanawake wameharibu mechi ....
Mpaka sasa sielewi sababu ya kuweka wanawake marefa
VAR ndio kitu kitakacho nifanya niache kushabikia football ...
Nawapongeza sana Chelsea kwa ubingwa
Nawapongeza Liverpool kwa kushinda kombe
Ubingwa ni kubeba kombe!Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri
Statistics speak for themselves[emoji4]Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri
Chelsea wameupiga mwingi sana wamecheza mpira wa kueleweka sio kubahatisha kama Liverpool .
Marefa hawa wanawake wameharibu mechi ....
Mpaka sasa sielewi sababu ya kuweka wanawake marefa
VAR ndio kitu kitakacho nifanya niache kushabikia football ...
Nawapongeza sana Chelsea kwa ubingwa
Nawapongeza Liverpool kwa kushinda kombe
Chelsea hakuna wa kumzuia Diani kule right wing na striker Gauvin kupata mabao. Labda wewe hujawaona mabinti wale wanavyotembeza kabumbu. Halafu forward line ya Chelsea hakuna anayeweza kupita ulinzi wa Renard na kumfunga Bouhai. Ukibisha beti tuitishe shindano hilo uoge mvua aibu na marafiki zako.Acha uongo,kwa hiyo hao wanawake ni wakali kuliko Liverpool ya akina Sara,Mane na kocha wao. Mbona wao wameshinda kufikisha 4.
Kwani kina Rashford,martial na lingard ninwakali kuliko salah mane na filmino ??Acha uongo,kwa hiyo hao wanawake ni wakali kuliko Liverpool ya akina Sara,Mane na kocha wao. Mbona wao wameshinda kufikisha 4.