kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kama uliamua kushabikia Chelsea,ni bora ubadili maamuzi mapema kwani ni moja ya timu za kishenzi sana na hawajali sana maslahi ya washabiki.
Nina sema hivi kwa kuwa wamekuwa wakiuza wachezaji wazuri wakati bado wanahitajika sana katika timu.
Unakumbuka akina Matic,Mo Salah,Kelvin de Bruyne,na wengine wengi bora kabisa.
Sasa hivi eti Willian ameambiwa aondoke,sasa tena Ngolo Nkante eti pia wanaongea na Inter Milan ili ikibidi wamuuze!
Hawa watu wanataka nini?Wameniudhi sana kwa hizi Sera za kishenzi