kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ya idweli pale london mkuu[emoji3][emoji3]Chelsea ya Idweli au ile nyingine ya Malangali?
Asa mkuu nawe nakuona hauko sawa suala la kante kuondoka hizo no rumors tu na hakuna ukweli wowote yeye mwenyewe kante alishasema haondoki na Chelsea haina mpango wa kumuuza.Kama uliamua kushabikia Chelsea,ni bora ubadili maamuzi mapema kwani ni moja ya timu za kishenzi sana na hawajali sana maslahi ya washabiki.
Nina sema hivi kwa kuwa wamekuwa wakiuza wachezaji wazuri wakati bado wanahitajika sana katika timu.
Unakumbuka akina Matic,Mo Salah,Kelvin de Bruyne,na wengine wengi bora kabisa.
Sasa hivi eti Willian ameambiwa aondoke,sasa tena Ngolo Nkante eti pia wanaongea na Inter Milan ili ikibidi wamuuze!
Hawa watu wanataka nini?Wameniudhi sana kwa hizi Sera za kishenzi
Wewe unatarajia kubeba kombe gani? πππππππAsa mkuu nawe nakuona hauko sawa suala la kante kuondoka hizo no rumors tu na hakuna ukweli wowote yeye mwenyewe kante alishasema haondoki na Chelsea haina mpango wa kumuuza.
Suala la Willian, Chelsea wanataka kumpa miaka miwili lakini yeye anataka miaka mitatu, lakini siku zinavyoenda uwezekano wa Willian kupewa huo mkataba upo maana, na week kadhaa zilizopita kulikuwa na mazungumzo Kati Willian na Chelsea.
Suala la kumuuza salah, Kevin kama wewe ni mtu wa soka hauwezi kulaumu hata kidogo, kipindi hicho akina salah na Kevin viwango vyao vilikuwa chini Sana ndio maana walitolewa kwa mkopo na baadae kuuzwa jumla. In fact Kila mchezaji ana muda wa kufikia peak yake kisoka, Je unadhani Chelsea ilipaswa kuwabakisha kikosini kwa kipindi hicho wakiwa na viwango vyao vya chini!?, Jibu ni hapana maana ni lazima ifanye maingizo mapya ya wachezaji mkuu.
Mwisho kama unaona Chelsea ni timu ya kishenzi then hama mkuu, kwanza utasemaje Chelsea ni timu ya kishenzi ambapo Kila msimu Ina guarantee ya kuchukua kombe uh!
Basi hamia arsenal, man United au Spurs timu ambazo hazina guarantee ya kuchukua kombe lolote ndani ya msimu.
FA, je wewe unatarajia kuchukua kombe gani mkuu,Wewe unatarajia kubeba kombe gani? πππππππ
FA, je wewe unatarajia kuchukua kombe gani mkuu,
.
Akiba gani ya maneno akati Niko fainali right nowππ, we are Chelsea!Kuwa na akiba ya maneno
Man u bhana wamedinywa kelele kwisha kabisaAkiba gani ya maneno akati Niko fainali right now[emoji16][emoji16], we are Chelsea!
Na hivyo vitambi. Wake zao wanawapeaje sasa ?Chelsea ni Utopolo unaovaa fulana za buluuView attachment 1506149
Kwani kitambi ndo kina dushe?Na hivyo vitambi. Wake zao wanawapeaje sasa ?
Mkuu acha hasiraKwani kitambi ndo kina dushe?
Wewe lazima utakuwa na kitambi.Kwani kitambi ndo kina dushe?