Tatizo sio managers.......Tatizo ni 'mafaza' ndani ya club,akina Lamps, Cole n.k......Hao ndio wanaiharibu timu kwa kujipendekeza kwa Roman na kuwafanyia hujuma managers.....Hata akija manager mwingine(kidume kama unavyosema) bado tatizo litakuwa ni lile lile mbele ya Lamps, Cole et al....