Haya!
Sisi tulimpenda Torres, Chelsea wakampenda zaidi! Jina la bwana lihimidiwe!
Sasa leo sijui ndio tusemeje! Najaribu kufikiria pale mama mkwe anapotoka chumbani nduki amefunga taulo halafu anapiga sarakasi! Chelsea hoyeee!
Toka lini gari ikawa inamiss ukanunua tair mpya halafu unategemea ikimbie jamani!