John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Hii game ingekuwa Chelsea na Al Ahl ingekuwa poa sana ili Luis amsumbue Kante π€£π€£π€£π€£ππ
Ila Palmeira wametandaza soka zuri
hawawabrail wana ubagui upi?Palmeiras ni uozo mtupu wazee wa kupaki bus,,,heri wangepita kati ya Boca juniors or River plate wangeonyesha ushindani. Au wangekutana Al ahly/Al hilal na Chelsea hapo sawa.
Hata ivyo nimefurai sana chelsea kuwatoa hao wabaguzi wa brazili
Inapendeza sana...
Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi.
Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz yameipa Chelsea ubingwa huo wa kwanza kwao katika historia ya michuano hiyo. Bao la Palmeiras lilifungwa na Raphael Veiga.
Hilo ndilo taji pekee ambalo mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich alikuwa hajashinda tangu alipoanza kuwa mmiliki wa klabu mwaka 2003.