figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
#FA Chelsea mabingwa kombe la FA England baada ya kuifunga Man United bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa Wembley jijini London.
[HASHTAG]#FACup2018[/HASHTAG] Timu ya ChelseaFC wakabidhiwa Kombe la ubingwa wa FA England baada ya kuifunga Man United bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa Wembley jijini London leo.
=====
UINGEREZA: Klabu ya Chelsea yatwaa Ubingwa wa Kombe la Chama cha Soka nchini humo(FA) -
Chelsea FC imetwaa uchampioni huo baada ya kuinyuka Klabu ya Manchester United kwa bao 1 kwa nunge
-
Bao hilo limewekwa kimiani na mshambuliaji raia wa Ubelgiji, Eden Hazard kunako dakika ya 22 ya mchezo kwa njia ya mkwaju wa penati
-
Penati hiyo ilipatikana baada ya mlinzi wa Manchester United, Phil Jones, kumchezea madhambi, Eden Hazard
-
Mtanange huo umepigwa katika dimba la Wembley