venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Hii timu inabidi isajili watu wa maana kabisa ikizingatiwa tayari wameruhusiwa kusajili, Lampard hadi sasa alichofaulu ni kuwainua vijana wa uingereza na kuwapa nafasi pia kupiga pasi nyingi zisizo na maana. Kuna time hadi unazima tv unapotazama game za Chelsea, daah!
Kuna lundo la wachezaji wengi kama Willian, Kepa, Azpilicueta, Zouma, Pedro, Backley, Christensen, Batshuay, Giroud, Alonso; hawa wote ni mizigo sahizi.
Kuna lundo la wachezaji wengi kama Willian, Kepa, Azpilicueta, Zouma, Pedro, Backley, Christensen, Batshuay, Giroud, Alonso; hawa wote ni mizigo sahizi.